Mark 15:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao wakampa divai iliyochanganywa na siki, lakini yeye alikataa kuinywa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye akaikataa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampa mvinyo iliyochanganyika na manemane, lakini hakunywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamupa divai iliyochanganywa na manemane, lakini akaikataa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane anywe, nae hakupokea.