Mark 15:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamsulibisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pale wakampigilia kwa misumari msalabani. Wakagawana mavazi yake miongoni mwao nao wakayapigia kura ili kuona kila mtu atapata nini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakamsulibisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni nini kila mtu atakachochukua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamsulubisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kumwamba msalabani, wakazigawanya nguo zake na kuzipigia kura, ndizo mtu achukue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamsulibisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakamutundika juu ya musalaba, wakagawanyana nguo zake kwa kuzipigia kura, kusudi wajue nguo gani kila mumoja atakazopaswa kutwaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamsulibi, wakagawanya nguo zake wakizipigia kura killa mtu atwae nini.