Mark 15:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: Mfalme wa Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilani ya mashtaka dhidi yake ilikuwa na maandishi haya juu yake: “MFALME WA WAYAHUDI.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: “Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “MFALME WA WAYAHUDI.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “ mfalme wa wayahudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu yake kulikuwa na andiko la mashtaka yake la kwamba: MFALME WA WAYUDA.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na tangazo hili liliandikwa kwa kuonyesha sababu ya kuhukumiwa kwake. “Mufalme wa Wayuda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Anwani ya mshitaka wake iliandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDU.