Mark 15:28 — Compare Translations

12 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo yakatimia Maandiko Matakatifu yanayosema, “Aliwekwa kundi moja na waovu.”]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nalo andiko likatimizwa, lisemalo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.”]
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo yakatimia Maandiko Matakatifu yanayosema, “Aliwekwa kundi moja na waovu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo maandiko yakatimizwa, yale yasemayo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo maandiko yakatimizwa, yale yasemayo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.]”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo yakatimia Maandiko Matakatifu yanayosema, “Aliwekwa kundi moja na waovu.”]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, lilipotimia lile neno la kwamba: Akahesabiwa kuwa mwenzao wapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maandiko Matakatifu yanayosema hivi yakatimizwa: “Alihesabiwa pamoja na watenda mabaya.”]
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na maasi.