Mark 15:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hebu shuka msalabani na uyaokoe maisha yako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi ujiokoe mwenyewe na ushuke kutoka msalabani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jiokoe mwenyewe, ushuke mtini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ujiokoe sasa mwenyewe, ukijishusha juu ya musalaba!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
jiponye nafsi yako, shuka msalabani.