Mark 15:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni, anamwita Ilya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na baadhi ya wale waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hivi, walisema, “sikilizeni anamwita Eliya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Eliya!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia maneno hayo, wakasema, “Msikieni anamwita Eliya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni anamwita Ilya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wao waliosimama hapo walipoyasikia wakasema: Tazama, anamwita Elia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na watu wamoja waliokuwa pale walipomusikia, wakasema: “Musikilize, anamwita Elia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na baadhi yao waliohudhuria, wakisikia, wakasema, Anamwita Eliya.