Mark 15:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo Pilato akamwuliza Yesu swali lingine. Akasema, “Wewe hata kujibu hujibu? Angalia una mashitaka mengi wanayokuletea!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato akamwuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pilato akamwuliza tena: Hujibu neno? Tazama yote, wanayokusuta!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Pilato akamwuliza tena: “Wewe haujibu hata neno? Angalia mambo haya yote wanayokushitakia!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pilato akamwuliza tena akinena, Hujibu neno? Tazama mambo mangapi wanayokushitaki!