Mark 15:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwako wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye hadi Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake hawa ni wale waliomfuata Yesu huko Galilaya na kumhudumia. Wanawake wengi wengine waliofuatana naye kuja Yerusalemu walikuwapo pale pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa walifuatana na Yesu na kumhudumia alipokuwa Galilaya. Pia walikuwapo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwepo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio waliomfuata na kumtumikia yeye, alipokuwa huko Galilea. Palikuwako nao wengine wengi walipanda pamoja naye kwenda Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake hawa ni wale waliomufuata Yesu na kumushugulikia wakati alipokuwa Galilaya. Wanawake wengine wengi waliomufuata mpaka Yerusalema walikuwa pale vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hawa ndio waliomfuata alipokuwa Galilaya, na kumkhudumia; na wengine wengi waliopanda pamoja nae hatta Yerusalemi.