Mark 15:42 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizi (yaani siku moja kabla ya Sabato),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikiisha kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku hii ilikuwa ni Siku ya Maandalizi ya Sabato. (Maana yake siku kabla ya Siku ya Sabato.) Jua lilikuwa bado halijazama.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizo, siku moja kabla ya Sabato,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizi, yaani siku moja kabla ya Sabato,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ilipofika wakati wa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilipokwisha kuwa jioni, kwa sababu ilikuwa andalio, ndio siku ya kutangulia sikukuu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikiisha kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilipokwisha kuwa magaribi, Yosefu wa Arimatea, akafika kwa Pilato. (Yosefu alikuwa mutu mwenye heshima katika Baraza Kubwa, na vilevile alikuwa akitazamia kuja kwa Ufalme wa Mungu). Siku ile ilikuwa ya matayarisho ya siku ya Sabato iliyofuata. Kwa hiyo Yosefu akaenda bila woga kwa Pilato kwa kumwomba maiti ya Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta ikiisba kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,