Mark 15:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato alikuwa akijiuliza kama Isa alikuwa amekwisha kufa. Hivyo akamwita yule jemadari, akamuuliza iwapo Isa alikuwa amekwisha kufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Pilato akastaajabu, kwamba amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato alishangaa Yesu angekuwa amekufa kwa haraka namna hii, hivyo alimwita yule akida na kumwuliza kama Yesu alikuwa tayari amekufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato alikuwa akijiuliza kama Yesu alikuwa amekwisha kufa. Akamwita yule jemadari, akamwuliza iwapo Yesu alikuwa amekwisha kufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato alikuwa akijiuliza kama Isa alikuwa amekwisha kufa. Hivyo akamwita yule jemadari, akamuuliza iwapo Isa alikuwa amekwisha kufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Pilato akastaajabu, kama amekwisha kufa. Akamwita yule kamanda, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pilato akastaajabu aliposikia, ya kuwa amekwisha kufa, akamwita bwana askari, akamwuliza, kama amekwisha kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Pilato akastaajabu, kwamba amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pilato akashangaa sana kusikia kwamba Yesu amekwisha kufa. Basi akamwita yule mukubwa wa waaskari na kumwuliza kama kumepita muda murefu tangia Yesu alipokufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pilato akastaajabu, kwa sababu amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.