Mark 16:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakusadiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini hao waliposikia kama yu hai, naye amemwona, hawakusadiki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Mariamu aliwaambia kwamba Yesu yu hai. Aliwaambia ya kwamba yeye amemwona, lakini wao hawakumwamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini waliposikia kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria alikuwa amemwona, hawakusadiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Maria alikuwa amemwona, hawakusadiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao waliposikia kwamba yu hai, naye amemwona, hawakuamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliposikia, ya kuwa anaishi, ya kuwa yeye amemwona, hawakuitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini hao waliposikia kama yu hai, naye amemwona, hawakusadiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na waliposikia jinsi Maria alivyowaambia kwamba Yesu ni muzima, na kwamba amemwona, hawakumusadikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki.