Mark 16:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njiani wakawa wanaulizana wao kwa wao, “Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe kutoka ingilio la kaburi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakasemezana wao kwa wao, Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe mlangoni pa kaburi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao walikuwa wakiambiana wao kwa wao, ni nani atakayelivingirisha jiwe litoke katika mlango wa kaburi kwa ajili yetu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njiani wakawa wanaulizana wao kwa wao, “Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe kutoka kwenye ingilio la kaburi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njiani wakawa wanaulizana wao kwa wao, “Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe kutoka kwenye ingilio la kaburi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakasemezana wao kwa wao, Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe mlangoni pa kaburi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema wao kwa wao: Nani atatufingirishia lile jiwe, litoke mlangoni pa kaburi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakasemezana wao kwa wao, Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe mlangoni pa kaburi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walienda wakiulizana: “Ni nani atakayetusukumia lile jiwe kutoka kwenye kiingilio cha kaburi?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakasemezana wao kwa wao, Nani atakaetufingirishia lile jiwe kutoka mlangoni mwa kaburi?