Mark 2:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninakwambia hivi, ‘Inuka! Beba kirago chako uende nyumbani!’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nakwambia simama, chukua mkeka wako uende nyumbani!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nakuambia, inuka, chukua kitanda chako uende nyumbani kwako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nakuambia: Inuka, jitwishe kitanda chako, uende nyumbani kwako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ninakuamuru, simama, utwae kipoyi chako na uende kwako!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako ukaende nyumbani kwako.