Mark 2:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaenda tena kandokando ya Bahari ya Galilaya. Umati mkubwa wa watu wakamfuata, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, mkutano wote ukamwendea, akawafundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara nyingine tena Yesu akaelekea kandoni mwa ziwa, na watu wengi walikuwa wakimwendea, naye akawafundisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaenda tena kandokando ya Bahari ya Galilaya. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaenda tena kandokando ya Bahari ya Galilaya. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, mkutano wote ukamwendea, akawafundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipotoka tena kwenda kandokando ya bahari, kundi lote la watu likamjia, akawafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, mkutano wote ukamwendea, akawafundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akaenda tena pembeni ya ziwa la Galilaya. Kundi kubwa la watu wakamufikia, naye akawafundisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, makutano yote wakamwendea, akawafundisha.