Mark 2:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya Mafarisayo walipoliona hilo wakamwambia Yesu, “Tazama, kwa nini wanafunzi wako wanafanya hivi? Ni kinyume cha sheria kuchuma masuke ya nafaka katika siku ya Sabato?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya wakati wa Sabato?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo ambalo si halali kufanywa siku ya Sabato?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mafariseo wakamwambia: Tazama! Mbona wanafanya siku ya mapumziko yaliyo mwiko?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Wafarisayo wakamwambia Yesu: “Sababu gani wanafunzi wako wanafanya jambo linalokatazwa kwa siku ya Sabato?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanatenda lisilo halali siku ya sabato?