Mark 2:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi pale wakawaza mioyoni mwao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya walimu wa sheria walikuwa wamekaa pale. Nao waliona kile alichokifanya Yesu na wakawaza miongoni mwa wenyewe,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi ya walimu wa Sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi baadhi ya walimu wa sheria waliokuwa wameketi huko wakawaza mioyoni mwao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi huko wakawaza mioyoni mwao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlikuwamo na waandishi waliokaa mlemle, wakawaza mioyoni mwao ya kwamba: Haya huyu anayasemaje? Anambeza Mungu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimu wamoja wa Sheria walioikaa pale wakajiuliza:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,