Mark 3:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini aliwaonya wasiwaambie wengine kumhusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakataza sana, wasimdhihirishe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini yeye aliwaamuru kila mara wasimwambie mtu yeyote yeye ni nani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakataza sana, wasimdhihirishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatisha sana, wasimtangaze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakataza sana, wasimdhihirishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu aliwakaripia kwa nguvu wasimutambulishe yeye ni nani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawagombeza sana, wasimdhihirishe.