Mark 3:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawachagua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa naye, na awatume kwenda kuhubiri
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaweka watu kumi na wawili, wapate kuwa pamoja naye, na kwamba awatume kuhubiri,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume. Aliwachagua ili waambatane pamoja naye, na kwamba aweze kuwatuma sehemu mbalimbali kuhubiri ujumbe wa neno la Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawachagua kumi na wawili ambao pia aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye na kuwatuma kwenda kuhubiri
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaweka watu kumi na wawili, wapate kuwa pamoja naye, na kwamba awatume kuhubiri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaweka kumi na wawili, wawe pamoja naye, apate kuwatuma kupiga mbiu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaweka watu kumi na wawili, wapate kuwa pamoja naye, na kwamba awatume kuhubiri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akachagua kumi na wawili kati yao, kusudi wakae pamoja naye na apate kuwatuma kwa kuhubiri,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaweka thenashara, wapate kuwa pamoja nae, na kusudi awatume kukhubiri,