Mark 3:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hao kumi na wawili walioteuliwa ndio hawa: Simoni (ambaye Yesu alimpa jina, Petro),
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaweka wale Thenashara; na Simoni akampa jina la Petro;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yafuatayo ni majina ya mitume kumi na wawili aliowateuwa Yesu: Simoni ambaye Yesu alimwita Petro,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hao kumi na wawili walioteuliwa ndio hawa: Simoni (ambaye Yesu alimpa jina, Petro),
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hao kumi na wawili walioteuliwa ndio hawa: Simoni (ambaye Yesu alimpa jina, Petro),
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaweka wale Kumi na Wawili; na Simoni akampa jina la Petro;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hao kumi na wawili walioteuliwa ndio hawa: Simoni (ambaye Yesu alimpa jina, Petro),
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaweka hao kumi na wawili: Simoni akampa jina la Petero.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaweka wale Thenashara; na Simoni akampa jina la Petro;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale kumi na wawili aliowachagua ni hawa: Simoni (Yesu aliyemupa jina la Petro),
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Simon akampa jina, Petro;