Mark 3:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopingana, utawala huo hauwezi kudumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa basi ufalme utagawanyika katika sehemu mbili zinazopingana zenyewe kwa zenyewe, ufalme huo hautaendelea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopigana, utawala huo hauwezi kudumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopingana, utawala huo hauwezi kudumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ufalme ukigawanyika wenyewe kwa wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopingana, utawala huo hauwezi kudumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ufalme unapogombana wao kwa wao, ufalme huo hausimamiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa ufalme mumoja wakigombana wao kwa wao, ufalme ule utaanguka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ufalme nkilitinika juu ya nafsi yake ufalme ule hauwezi kusimama;