Mark 3:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo nyumba ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Vivyo hivyo ufalme wa Shetani ukigawanyika naye akapigana dhidi ya pepo wake wabaya, basi huo utakuwa ndio mwisho wa ufalme wake. Pia ikiwa nyumba itapingana yenyewe kwa yenyewe, nyumba hiyo haitaweza kusalimika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo nyumba kama ikigawanyika yenyewe kwa yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nyumba inapogombana wao kwa wao, nyumba hiyo haitaweza kusimama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wa jamaa moja wakigombana wao kwa wao, jamaa ile haitadumu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba ile haiwezi kusimama.