Mark 3:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu wa Mungu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini yeyote atakayemtukana Roho Mtakatifu hatasamehewa kabisa. Kwa sababu mtu anayefanya hivyo atakuwa na hatia ya dhambi isiyosamehewa milele.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ye yote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeyote anayemkufuru Roho wa Mwenyezi Mungu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtu atakayembeza Roho Mtakatifu hapati kuondolewa kale na kale, ila kosa lake litamkalia pasipo mwisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mutu anayemutukana Roho Mutakatifu hatasamehewa hata milele, kwa maana zambi ile inadumu kwa milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali mtu atakaemkufuru Roho Mtakatifu hana masamaha hatta milele; bali atakuwa ana dhambi ya milele;