Mark 3:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mama yake Yesu na nduguze wakaja. Wao walisimama nje na wakamtuma mtu aende kumwita ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kutaka kumwona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mama yake na ndugu zake wakaja, wakasimama nje, wakatuma mtu kwake, amwite.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama ya Yesu na wandugu zake wakakuja, wakasimama inje, wakatuma mutu kwenda kumwita.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaja mama yake na ndugu zake; wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.