Mark 3:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. Basi, watu wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati wa watu walikuwa wameketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka, wakamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Humo lilikuwepo kundi lililoketi kumzunguka, lakini wao wakamwambia, “Tazama! Mama yako, kaka zako na dada zako wako nje wanakusubiri.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. Basi, wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. Basi, watu wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka, wakamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. Basi, watu wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kundi la watu likawamo likimzunguka, wakamwambia: Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka, wakamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi kubwa la watu waliikaa, wakizunguka Yesu. Halafu wakamwambia: “Mama yako na wandugu zako wako inje, wanakutafuta.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka; wakamwambia, Mama yako, na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.