Mark 4:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawaambia, “Hamuelewi mfano huu? Sasa je mtaelewaje mfano wowote nitakaowapa?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu akawauliza, “Je, ninyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yesu akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Msipoujua mfano huu mtaitambuaje mifano yote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akaongeza kuwaambia: “Kama musipoelewa mufano huu, namna gani mutaelewa mifano mingine?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Askawaambia, Hamjui mfano huu? Bassi mifano yote mtaitambuaje?