Mark 4:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. Huo ni mfano wa wale wanaosikia hilo neno,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye miiba, hulisikia lile neno;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengine ni kama mbegu iliyopandwa katika miiba. Hawa ndio wale wanaolisikia neno,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. Huo ni mfano wa wale wanaolisikia hilo neno,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. Huo ni mfano wa wale wanaosikia hilo neno,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye miiba, hulisikia lile neno,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye miiba, hulisikia lile neno;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. Huo ni mfano wa wale wanaosikia hilo neno,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine ndizo zilizomiagwa penye miiba, ndio hao: wanalisikia Neno,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Udongo wenye miiba, pahali mbegu zilipoanguka, ni mufano wa wale wanaosikia Neno la Mungu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba, ni watu walisikiao lile neno,