Mark 4:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa kila aliye na uelewa kidogo ataongezewa zaidi. Lakini wale wasiosikiliza kwa makini watapoteza hata ule uelewa mdogo walio nao.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana aliye na kitu ataongezewa na yeye asiye na kitu hata kile alicho nacho atanyang'anywa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani aliye na mali atapewa; lakini asiye na kitu atachukuliwa hata kile, alicho nacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana anayekuwa na kitu, ataongezewa kingine; lakini asiyekuwa na kitu, ataondolewa hata kidogo anachokuwa nacho.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana mtu aliye na kitu atapewa, nae asiye na kitu, hatta kile alicho nacho ataondolewa.