Mark 4:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ardhi yenyewe inatoa nafaka; kwanza hutoka shina, kisha kinafuata kichwa na mwishoni hutokea nafaka kamili katika kichwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi huzaa yenyewe kwanza hutoa mimea, halafu suke, halafu ngano zinazojaa katika suke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Udongo wenyewe unaotesha mimea; kwanza majani, halafu masuke na kisha ngano zinazokomaa ndani ya masuke.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana inchi huzaa yenyewe, kwanza jani, tena suke, kiisha nganu mpevu katika suke.