Mark 4:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara nafaka inapokuwa imekomaa, mkulima huenda shambani na mundu kuvuna, maana mavuno yamekuwa tayari.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata matunda yakiiva, mara atapeleka mundu, kwa kuwa mavuno yamefika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nafaka ile inapokuwa imekomaa, basi mkulima huikata kwa fyekeo kwani wakati wa mavuno umekwishafika.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nafaka inapokuwa imekomaa, mara mkulima huingia shambani na mundu wa kuvunia maana mavuno yamekuwa tayari.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nafaka inapokuwa imekomaa, mara mkulima huingia shambani na mundu wa kuvunia, maana mavuno yamekuwa tayari.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata matunda yakiiva, mara atapeleka mundu, kwa kuwa mavuno yamefika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini punje zinapopevuka, mwenyewe mara hutuma wenye miundu, kwani mavuno yamefika.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata matunda yakiiva, mara atapeleka mundu, kwa kuwa mavuno yamefika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ngano zinapokomaa, mutu anazivuna, kwa maana ni wakati wa mavuno.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta matunda yakiiva, marra aupeleka mundu kwa kuwa mavuno yamewadia.