Mark 4:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni kama punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kama punje ya haradali, ambayo ipandwapo katika nchi, ingawa ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika nchi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni kama mbegu ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko zote inapopandwa ardhini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uko kama punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni kama punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kama punje ya haradali, ambayo ipandwapo katika nchi, ingawa ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umefanana na kipunje cha haradali. Kinapopandwa katika nchi ni kidogo kuliko mbegu zote zilizoko huku nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kama punje ya haradali, ambayo ipandwapo katika nchi, ingawa ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unafanana na mbegu ya haradali. Inapopandwa katika udongo ni ndogo sana kuliko mbegu zote za dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ni kama punje ya kharadali ambayo, ipandwapo katika inchi, ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika inchi,