Mark 4:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jioni, siku hiyohiyo, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke ziwa, twende ngambo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipokaribia jioni ya siku hiyo, Isa akawaambia wanafunzi wake, “Tuvukeni hadi ng’ambo ya ziwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ile kulipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke mpaka ng'ambo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku ile ilipofika jioni aliwaambia, “Hebu tuvuke kwenda ng'ambo ya pili ya ziwa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jioni, siku hiyohiyo, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke ziwa, twende ng'ambo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jioni, siku hiyohiyo, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke ziwa, twende ng'ambo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo, ilipokaribia jioni, aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke na twende mpaka ng'ambo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo ilipokaribia jioni, aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvukeni twende mpaka ng’ambo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo kulipokuwa jioni, Yesu akawaambia, Na tuvuke mpaka ng'ambo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jioni, siku hiyohiyo, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke ziwa, twende ngambo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile ilipokuwa jioni, akawaambia: Tuvuke kwenda ng'ambo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ile kulipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke mpaka ng’ambo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ilipotimia magaribi siku ile ile, Yesu akawaambia wanafunzi wake: “Tuvuke ngambo ingine ya ziwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siku ile ilipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke hatta ngʼambu.