Mark 4:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kukawa na dhoruba kali, nayo mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikawa karibu kujaa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikatokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Dhoruba kubwa ikatokea na mawimbi yalikuwa yanakuja katika pembe zote za mtumbwi. Mtumbwi nao ulikaribia kujaa maji kabisa
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kukawa na dhoruba kali, nayo mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikawa karibu kujaa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kukawa na dhoruba kali, nayo mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikawa karibu kujaa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikatokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakaipiga mashua hata ikaanza kujaa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kukawa na msukosuko mkubwa wa upepo, mawimbi yakakipigapiga chombo, hata chombo kikawa kinajaa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikatokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zoruba kali ikavuma ndani ya ziwa, maji yakajitupatupa ndani ya chombo hata kikaanza kujaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikatokea dharuba kuu ya npepo, mawimbi yakapiga chombo hatta kikaanza kujaa maji.