Mark 4:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi, zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyingine zilianguka kwenye mwamba usio na udongo mwingi. Ziliota haraka kwa kuwa udongo ulikuwa kidogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyingine ikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara ikaota kwa kuwa na udongo haba;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mbegu nyingine ikaanguka juu ya uwanja wenye miamba, mahali ambapo hapakuwa na udongo wa kutosha. Hiyo mbegu ilichanua haraka kwani udongo ule haukuwa na kina cha kutosha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi, zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyingine ikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara ikaota kwa kuwa na udongo haba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi, zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine zikaangukia penye miamba pasipo na udongo mwingi. Kuota zikaota upesi kwa kuwa na udongo kidogo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyingine ikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara ikaota kwa kuwa na udongo haba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zingine zikaanguka pahali penye mawe pasipokuwa udongo mwingi. Mbegu zile zikaota upesi kwa sababu hapakukuwa udongo mwingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nyingine zikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; marra zikamea kwa kuwa na udongo haba;