Mark 4:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua lilipochomoza, zikateketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata jua lilipozuka iliungua, na kwa kuwa haina mizizi ikanyauka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini jua lilipochomoza, ule mmea uliungua na kwa sababu haukuwa na mizizi ya kutosha ulinyauka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jua lilipochomoza, zikachomeka; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua lilipochomoza, zikateketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake ilikuwa haina kina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata jua lilipozuka iliungua, na kwa kuwa haina mizizi ikanyauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua lilipochomoza, zikateketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini jua lilipokuwa kali, zikanyauka, kwa kuwa hazina mizizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata jua lilipozuka iliungua, na kwa kuwa haina mizizi ikanyauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati jua lilipokuwa kali, likazichoma, na kwa sababu hazikukuwa na mizizi mikubwa zikakauka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta jua lilipoznka zikaungua, na kwa kuwa hazina mizizi zikakauka.