Mark 4:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isa akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akasema, “Kila mwenye masikio mazuri ayasikie haya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yesu akasema, “Mwenye masikio ya kusikia na asikie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isa akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Mwenye masikio yanayosikia na asikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaambia: “Mwenye kuwa na masikio ya kusikia, asikie!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akanena, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.