Mark 5:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa na wanafunzi wake wakafika upande wa pili wa ziwa, wakaingia katika nchi ya Wagerasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakafika ng'ambo ya ziwa, katika nchi walimoishi Wagerasi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafika upande wa pili wa bahari wakaingia katika nchi ya Wagerasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafika ng'ambo ya bahari katika nchi ya Wagerasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu na wanafunzi wake wakafika kule ngambo ingine ya ziwa la Galilaya katika inchi ya Wagerasi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
WAKAFIKA ngʼambu ya bahari hatta inchi ya Wageraseni.