Mark 5:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakilisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kulikuwepo kundi kubwa la nguruwe likila katika kilima.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi kubwa la nguruwe lilikuwa karibu likilisha kando ya kilima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kulikuwako kule mlimani kundi kubwa la nguruwe waliokuwako malishoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakilisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na pale karibu na mulima kulikuwa kundi kubwa la nguruwe wakijitafutia chakula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na pale milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, walisha.