Mark 5:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale pepo wakamwomba Yesu awatume waende katika lile kundi la nguruwe na kuliingia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe, turuhusu tuwaingie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakambembeleza wakisema: Tutume kwenda kwao wale nguruwe, tupate kuwaingia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi pepo wakamusihi Yesu kwamba awatume kuingia ndani ya nguruwe wale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pepo wote wakamsihi, wakinena, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.