Mark 5:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu, na habari za lile kundi la nguruwe pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na habari za nguruwe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale waliokuwa wameona hili waliwasimulia kile kilichomtokea mtu yule aliyekuwa amepagawa na mashetani na kuhusu nguruwe wale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu walishuhudia tukio hilo wakaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale walioyaona mambo haya wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule aliyekuwa na pepo wachafu na lile kundi la nguruwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu, na habari za lile kundi la nguruwe pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na kuhusu nguruwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walioyaona wakawasimulia, ya mwenye pepo yalivyoendelea, hata yale ya nguruwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na habari za nguruwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walioona yale yaliyotendeka wakawaelezea watu wale mambo yaliyomutokea yule aliyekuwa na pepo na yaliyotokea nguruwe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao walioona wakaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na khabari za nguruwe.