Mark 5:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo akaja mmojawapo wa maofisa wa sunagogi aitwaye Yairo. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mmoja wa viongozi wa sinagogi aliyeitwa Yairo akafika pale. Naye alipomwona Isa, akapiga magoti miguuni pake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata alipomwona, akaanguka miguuni pake,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
mmoja wa viongozi wa sinagogi, aliyeitwa Yairo, alifika pale. Naye alipomwona Yesu, alipiga magoti miguuni pake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo akaja mmojawapo wa maofisa wa sunagogi, jina lake Yairo. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo akaja mmojawapo wa maofisa wa sunagogi aitwaye Yairo. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mmoja wa viongozi wa sinagogi aliyeitwa Yairo, akafika pale, naye alipomwona Yesu akapiga magoti miguuni pake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mmoja wa viongozi wa sinagogi aliyeitwa Yairo akafika pale. Naye alipomwona Isa, akapiga magoti miguuni pake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata alipomwona, akaanguka miguuni pake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo akaja mmojawapo wa maofisa wa sunagogi aitwaye Yairo. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaja mmoja wao majumbe wa nyumba ya kuombea, jina lake Yairo; alipomwona akamwangukia miguuni pake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata alipomwona, akaanguka miguuni pake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mukubwa mumoja wa nyumba ya kuabudia aliyeitwa Yairo, akafika pale. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kumbe! akaja mtu mmoja katika wakuu wa sunagogi, jina lake Yairo: hatta alipomwona, akaanguka miguuni pake,