Mark 5:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Isa akaenda pamoja naye. Umati mkubwa wa watu wakamfuata, nao watu wakawa wanamsonga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsonga-songa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Yesu alienda pamoja naye. Na kundi kubwa la watu lilimfuata; nao walikuwa wakimsonga pande zote kumzunguka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yesu akaenda pamoja naye. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, watu wakawa wanamsonga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Isa akaenda pamoja naye. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, nao watu wakawa wanamsonga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsongasonga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaondoka, akaenda naye; watu wengi sana wakamfuata wakimsongasonga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsonga-songa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akaenda pamoja naye. Watu wengi walimufuata na kumusongasonga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaenda pamoja nae: makutano mengi wakamfuata, wakimsongasonga.