Mark 5:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwepo mwanamke mmoja aliyekuwa akitoka damu (kama ilivyo desturi ya wanawake kila mwezi) kila siku kwa miaka kumi na miwili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kukawa na mwanamke mwenye ugonjwa wa kutoka damu miaka 12.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kati yao kulikuwa mwanamuke mumoja mwenye ugonjwa wa kutokwa na damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara,