Mark 5:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati aliposikia juu ya Yesu, alimwendea kwa nyuma akiwa katika kundi lile na kuligusa joho lake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa amesikia habari za Yesu naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoyasikia mambo ya Yesu akaliingia kundi la watu, akamjia nyuma, akaigusa nguo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mwanamuke yule aliposikia habari za Yesu, alikuja na kuingia katikati ya kundi la watu nyuma ya Yesu na kugusa nguo yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bassi aliposikia khabari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;