Mark 5:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana alisema moyoni mwake, “Nikiligusa vazi lake tu, nitaponywa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana alisema, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwani alikuwa akijisemea mwenyewe, “Ikiwa nitagusa tu vazi lake, nitapona.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikiweza kuligusa vazi lake tu, nitapona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikiweza kuligusa vazi lake tu, nitaponywa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana alisema, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana alisema: Hata nikizigusa nguo zake tu nitapona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana alisema, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu alikuwa akijisemesha: “Kama nikiweza tu kugusa nguo ya Yesu nitapona.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana alinena, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.