Mark 5:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu aliendelea kuangalia kumzunguka kuona ni nani aliyeyafanya haya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipotazama huko na huko, apate kumwona aliyemgusa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu akaangalia pande zake zote kusudi amwone yule aliyefanya vile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatazama pande zote illi amwone yule aliyelitenda neno hili.