Mark 5:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane nduguye Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakumruhusu mtu yeyote amfuate isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, nduguye Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hakumruhusu mtu afuatane naye, ila Petro, na Yakobo, na Yohana nduguye Yakobo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye hakumruhusu mtu yeyote kumfuata isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana ndugu yake Yakobo,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane nduguye Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane nduguye Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakumruhusu mtu mwingine ye yote amfuate isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana nduguye Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakumruhusu mtu mwingine yeyote amfuate isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, nduguye Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hakumruhusu mtu afuatane naye, ila Petro, na Yakobo, na Yohana nduguye Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane nduguye Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha hakumpa mtu mwingine ruhusa kufuatana naye, ila Petero na Yakobo na Yohana, nduguye Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hakumruhusu mtu afuatane naye, ila Petro, na Yakobo, na Yohana nduguye Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yesu hakuruhusu mutu kumusindikiza, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yoane, yule ndugu wa tumbo wa Yakobo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala hakumrukhusu mtu afuatane nae, illa Petro, na Yakobo, na Yohana ndugu yake Yakobo.