Mark 5:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika nyumbani mwa yule kiongozi wa sinagogi, Isa akaona ghasia, watu wakilia na kuomboleza kwa sauti kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafika nyumbani kwa yule mkuu wa sinagogi, akaona ghasia, na watu wakilia, wakifanya maombolezo makuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
nao wakaenda katika nyumba ya yule afisa wa sinagogi, na Yesu akaona vurugu na watu wakilia kwa sauti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi, Yesu akaona ghasia, watu wakilia na kuomboleza kwa sauti kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi, Isa akaona ghasia, watu wakilia na kuomboleza kwa sauti kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafika nyumbani kwa yule mkuu wa sinagogi, akaona ghasia, na watu wakilia, wakifanya maombolezo makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoingia nyumbani mwa jumbe wa nyumba ya kuombea, akaona makelele ya watu, wakilia na kuomboleza sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafika nyumbani kwa yule mkuu wa sinagogi, akaona ghasia, na watu wakilia, wakifanya maombolezo makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika kwa nyumba ya mukubwa Yairo, Yesu akakuta kuko makelele, nao watu wakilia na kulalamika sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakafika nyumbani kwa yule mkuu wa sunagogi, akaona ghasia, na watu wakilia, wakifanya maombolezo mengi.