Mark 5:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na mbili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata umri wa miaka kumi na miwili. Mara wakashangaa mshangao mkuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule msichana aliinuka mara moja na kuanza kutembea mahali pale. Naye alikuwa na miaka kumi na miwili. Nao mara moja wakaelemewa na mshangao mkubwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata umri wa miaka kumi na miwili. Mara wakashangaa mshangao mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo kijana akafufuka, akaendaenda, kwani alikuwa wa miaka 12. Ndipo, waliposhangaa ushangao mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata umri wa miaka kumi na miwili. Mara wakashangaa mshangao mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja yule kijana akasimama na kuanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Nao watu wakashangaa sana kwa kuona jambo hilo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata miaka thenashara. Wakashangaa mshangao mwingi.