Mark 5:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu yeyote jambo hilo, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaonya sana, mtu asijue habari ile; akaamuru apewe chakula.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye akawapa amri kuwa mtu yeyote asijue juu ya jambo hili. Kisha akawaambia wampatie msichana yule chakula ale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu ye yote jambo hili, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu yeyote jambo hilo, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaonya sana, mtu asijue habari ile; akaamuru apewe chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawakataza sana, wasilitambulishe neno hili kwa mtu ye yote; kisha akasema, kijana apewe chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaonya sana, mtu asijue habari ile; akaamuru apewe chakula. a.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu aliwaagiza sana wasimwambie mutu yeyote jambo lililofanyika. Kisha akawaambia wamupe mutoto yule chakula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaagiza sana, mtu asijue khabari ile; akaamuru apewe chakula.