Mark 5:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tuko wengi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo Yesu akamwuliza yule mtu, “Jina lako nani?” Naye akamjibu, “Jina langu ni Jeshi, kwa sababu tuko wengi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni Jeshi, maana sisi tu wengi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tuko wengi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tuko wengi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomwuliza: Jina lako nani? akamwambia: Jina langu mimi Maelfu, kwa kuwa tumo wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akamwuliza: “Jina lako nani?” Naye akamujibu: “Jina langu ni ‘Jeshi’, maana sisi ni wengi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Jina lako nani? Akajibu, akamwambia, Jina langu Legioni: kwa kuwa tu wengi.